1.
Holy
Spirit Rain Down
Words
and Music by Russell Fragar
Holy
Spirit rain down, rain down
Oh
Comforter and Friend
How we
need Your touch again
Holy
Spirit rain down, rain down
Let
Your power fall
Let
Your voice be heard
Come
and change our hearts
As we
stand on Your word
Holy
Spirit rain down
No eye
has seen, no ear has heard
No mind
can know what God has in store
So open
up heaven, open it wide
Over
Your church and over our lives
2. Power Of Your Love
Words
and Music by Geoff Bullock
Lord I
come to You
Let my
heart be changed, renewed
Flowing
from the grace
That
I've found in You
Lord
I've come to know
The
weaknesses I see
In me
Will be
stripped away
By the
power of Your love
Hold me
close
Let
Your love
Surround
me
Bring
me near
Draw me
to Your side
And as
I wait
I'll
rise up like the eagle
And I
will soar with You
Your
Spirit leads me on
In the
power of Your love
Lord
unveil my eyes
Let me
see You face to face
The
knowledge of Your love
As You
live in me
Lord
renew my mind
As Your
will unfolds in my life
In
living every day
By the
power of Your love
3. BWANA NI MCHUNGAJI
WANGU
Bwana ni mchungaji
wangu,
Sitapungukiwa kitu,
Hunlaza penye majani
mabi-i-chi,
Huniongoza kwenye maji
matulivu.
Hunihuisha nafsi yangu,
Huniongoza kwa njia za
haki,
Nipitapo bondeni
mwamauti,
Sitaogopa wewe u nami.
Hakika wema nazo
fadhili,
Zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa
Bwana,
Siku zote za maisha
yangu.
Gongo lako na fimbo
yako,
Vinanifariji mimi
Waanda meza mbele
yaa-a-ngu
Machoni pa watesi wangu. (
To Chorus)
Nitakaa nyumbani mwa
Bwana,
Siku zote za maisha
yangu. (Mwisho)
4. NASHUKURU BY
MASELINAH
Umenipa uhai Baba,
nafasi nyingine ya siku mpya,
Baba nashukuru-u-u,
Umeniponya roho na
mwili, tabibu wa ajabu ewe Yesu,
Baba nashukuru-u-u,
Umeondoa laana baba,
kabadilisha kuwa baraka
Baba nashukuru-u-u,
Kilio change ewe Yesu,
kabadilisha kuwa furaha,
Baba nashukuru-u-u.
Kwa moyo wangu wote,
nasema asante kwako,
masiya nashukuru-u-u *2
Nilipokuwa mnyonge Baba,
umekuwa nguvu yangu,
Baba nashukuru-u-u,
Nayo mishale ya yule
mwovu, haijanipata umenilinda,
Baba nashukuru-u-u,
Umeniongoza Mwokozi
wangu, kanisimamisha imara,
Baba nashukuru-u-u,
Umenitoa kwenye shimo la
giza, kanileta kwenye mwanga,
Baba nashukuru-u-u,
(Chorus)*2
Yale yote umetenda, ni
mengi mno,
na yaajabu, sijui mimi nisemeje-ee
Yale Yahwe umenitendea,
ni mengi mno,
na yaajabu, sijui mimi nisemeje-ee
sijui mimi nisemeje-ee
(Chorus)
Masiya nashukuru-u-u*3
5. HERI SIKU MOJA MBELE
ZAKO
Ewe Mungu wa majeshi,
Ninapenda kukaa nawe,
Maskani zako zapendeza,
Nazikondea kwa shauku kubwa
Heri siku moja mbele
zako
Kuliko siku maelfu mbali
na wewe,
E Bwana nguvu na msaada
wangu,
nita-kupenda daima.
Moyo na mwili wangu
Bwana,
Vya kulilia Mungu wangu,
Heri nikose vyote Baba,
Lakini nikupate wewe.
6. SINA MUNGU MWENGINE
Sina Mungu mwengine,
Wakutegemea,
Mbinguni na duniani,
hapana mwengine,
sina cha kupendeza
wala cha faida
ila wewe Bwana wangu
Mungu wa milele
mwili na moyo wangu
vya weza zimia
bali Mungu ndiye nguvu
za uhai wangu
yeye sehemu yangu
milele daima
nitaingia hema yake
Na sifa zake kuu
Ninani mwingine,
ajazaye roho yangu, na
kunipa raha kamili
Ninani semeni,
akamboaye mwanadamu, na
kumshindia shetani
7. BABA NAOMBA BY KAHURA
Macho yangu, nayainuya,
Nibadilishe, Unibariki,
baraka zako, haina
huzuni,
niza kudumu milele amina
Baba naomba, kubarikiwa
nawe,
sitoki hapa
usiponibariki *2
ukabadilisha, yakobo
jina
ukamwita, isreael
maana yake, kubarikiwa
nami naomba kubarikiwa
nawe.
Ninapokutazama
utanininua,
Ninapokutazama
utanibariki,
Ninapokutazama sitaogopa
kamwe,
Sitoki hapa bila uguso
wako.
Ukinigusa nimebarikiwa,
Uguso wako, ni baraka
kwangu,
ulimgusa Batholomayo
akaona,
Ndipo nasema, nataka
uguso wako.
Sitoki hapa usinibariki.
8. UNASTAHILI
Unastahili
unastahili
unastahili Bwana
(repeat)
Kupokea utukufu heshima
na uweza
unastahili bwana
niwewe wastahili...
ni wewe wastahili bwana
(repeat)
9. UNATAWALA MILELE by Chibalonza.
Solo: unatawala
milele (repeat)
Ubarikiwe milele (repeat)
Uinuliwe milele (repeat)
Milele milele Yesu ni
mfalme
(Repeat)
Moyo wangu imba msifu
mwokozi
(repeat).
10. MWIMBIE BWANA
mwimbie bwana
msifu bwana
ametenda mambo ya
ajabu(Echo)
Nitaimba wimbo mpya
Sifu Bwana wangu(Echo)
Sifu Bwana
Sifu Bwana
Sifu Bwana
Viumbe vyote
Sifu bwana
11. HOW GREAT IS OUR GOD by Chris
Tomlin.
The splendor of the
king,
Clothed in majesty,
Let all the earth
rejoice,
all the earth rejoice,
He wraps Himself
in light
and darkness tries to
hide,
Trembles at His voice,
Trembles at His voice.
CHORUS.
How great is our God,
sing with me how great
is our God
and all will see how
great
how great is our GOD.
Age to age He stands
And time is in His hands
Beginning and the end
Beginning and the end
The God head three in
one
Father Spirit Son
The lion and the lamb
The lion and the lamb
12. USHIRIKA by Christine Shusho.
CHORUS.
Mimi nataka
ushirika nawe ee.. ewe roho
Mimi nataka ushirika
nawe ee. …Roho *(repeat)
Nimekubali habari hizi,
ya kuwa wewe ni Mungu roho, roho nataka ushirika nawe
Ulikuwepo tokea mwanzo,
ulishiriki kuniumba Nataka ushirika nawe
Nakuhitaji maishani
unihifadhi moyo wangu roho ee roho wee nataka ushirika nawe
(Chorus)
Wayachukua maombi
watuombea kwa kuugua roho,roho nataka ushirika nawe
Ukiwa nasi twatiwa,
nguvu twafanya kazi kwa ujasiri roho, ee roho nataka ushirika nawe
Uyatawale maisha yangu
sitaogopa nikiwa nawe eee roho
(Chorus)
Wewe Mungu uliye hai,
tena roho wa kweli wewe kiongozi,nataka ushirika nawe
Wewe mafuta ya
shangwe tene harabuni yetu roho wa milele, nataka ushirika nawe
Wew roho msaidizi tena
mshauri wetu wewe kidole cha Mungu nataka ushirika nawe…
(Chorus)
13. UMETENDA MEMA by Kambua.
Nakushukuru wee,
nakutukuza wee
Umenitendea mambo ya
ajabu,
Mimi nisemeje,ili
nikushukuru,
Nasema wewe
Mungu,umenitendea.
CHORUS.
Umetenda mema,
umetenda mema,
umetenda mema,
ndio maana naimba.
(repeat)
Wimbo wa moyo wangu, na
nafsi yangu yote.
Yasema ewe Mungu
umenitendea, Maisha yangu
Yote nakutolea wewe kwa
maana ewe baba,
Umenitendea.
14. HALLELUYAH.
Halleluyah
Halleluyah
Twalisifu jina lako tu.
wastahili sifa zote
umejivika nguvu
tamalaki mahali hapa
jina lako ni kuu.
Neema Yako yanitosha
Jioni asubuhi,mchana
Uwepo wako umenifunika
jina lako ni kuu.
Naja mbele zako kama
nilivyo
Niwezeshe Bwana kukusifu
Naja mbele zako kama
nilivyo
niwezeshe Bwana
kukuabudu.
15. HAIYE/YAHWEH
Nitamwimbia Bwana kwani
yeye ni mwema
Yeye ni mwema x2
Yahweh x2
Hakuna muweza yote kama
yeye
Yahweh x2
Dunia yote inamshangilia
Yahweh!!!
16. SUBIRI USICHOKE
Usichoke, jitie moyo,
Bwana akujali,
Wakati wako utakapofika,
Hakuna atakayezuia
baraka zako.
Macho yake yanazunguka,
Ulimwengu wote,
Kuonyesha nguvu zake,
kwa wale wamtumainio-o-o
Macho yake yanazunguka,
Ulimwengu wote,
Kuonyesha nguvu zake,
kwa wale wamtumainio.
Iteration (rudia mara
kadhaa)
Subiri subiri wewe usichoke
17. LET IT RAIN By Michael W. Smith
Let it rain,
Let it rain,
Open the flood gates of
heaven,
Let it rain,
Let it rain.
18. WEWE NI JEHOVAH- Faith mwangi
Ni Jehovah Rapha Mungu
wetu wa uponya,
Magonjwa yote ameyaponya
kwa damu yake
Ni Jehovah Rapha Mungu
wetu wa uzima-a,
Wewe ni Mungu, wewe ni
Bwana.
Chorus:
Wewe ni Jehova Mungu
wetu wa uzima
Wewe ni Jehova Mungu
wetu wa pekee
Mbingu na dunia
zinakuabudu ewe mfalme
Wewe ni Mungu wewe ni
Bwana
Ni Jehovah Jireh Mungu
wetu anatujali
Mahitaji yetu anayajua
yote-ee
Jehovah Jireh Mungu wetu
atuhifadhi
Wewe ni Mungu, wewe ni
Bwana
Chorus
Wewe ni Jehovah Ebenezer
katufikisha
Hivyo mbali Mungu baba
tumekuona
Wewe ni Jehovah Ebenezer
katufikisha
Wewe ni Mungu, wewe ni
Bwana
Chorus
Chorus(semi-tone up)*2
19. BE GLORIFIED
E
Bm7 A E
Be glorified, be
glorified
E
Bm7 A E
Be glorified, be
glorified
D
A
E
Be glorified in the
heavens,
D
A
E
be glorified in the
earth
D
A
E
be glorified in this
temple
D F#m
E B A
Je-sus,
Je-e-sus
F#m
B E
be Thou glorified
Worship the Lord…
Jesus is Lord
20. BREATHE by Michael W. Smith
G
C
...This is the air I
breathe
G
C
...This is the air I
breathe
G
D/F# Em
...Your Holy Presence...
C D
...Living in me
G
C
...This is my daily
bread
G
C
...This is my daily
bread
G
D/F# Em
...Your very Word...
C
D
...Spoken to me
G D/F#
Em
C D
And I...............,
I'm desperate for You...
G D/F#
Em
C D
And I..............., I'm
lost without You...
...Spoken to me
A E/G#
F#m
D E
And I...............,
I'm desperate for You...
A E/G#
F#m
D E
And I...............,
I'm lost without You...
21. OPEN THE EYES OF MY
HEART
C
Open the eyes of my heart, Lord
Em
Open the eyes of my heart
F
I want to see you
C
I want to see you
C
Open the eyes of my heart, Lord
Em
Open the eyes of my heart
F
I want to see you
C
I want to see you
Chorus
G Am
To see You high and lifted up
F G
Shining in the light of Your glory
Am
Pour out Your power and love
F G
As we sing holy, holy, holy
Holy holy holy
Holy holy holy
Holy holy holy
I want to see You
G Am
To see You high and lifted up
F G
Shining in the light of Your glory
Am
Pour out Your power and love
F G
As we sing holy, holy, holy
Holy holy holy
Holy holy holy
Holy holy holy
I want to see You
22. GIVE THANKS
F
C
Give thanks with a
grateful heart
Dm
Am7
Give thanks unto the
Holy One
Bb
F Dm7
Give thanks because He's
given Jesus
E7
C
Christ, His Son
(Repeat)
Am7
Dm7
Gm
And now let the weak
say, "I am strong"
C7
F
Let the poor say,
"I am rich
Dm
E7 C7
Because of what the Lord
has done for us"
(Repeat)
F
Give thanks...
23. I HAVE A MAKER
D
A D G
I have a maker
D
G
A Asus
He formed my heart
D
A
D G
Before even time began
D
A D
Dsus
My life was in his hands
Chorus:
G
D
A Asus
He knows my name
G
D
A D
He knows my every
thought
G
D
A Bm
He sees each tear that
falls
G
A D
And he hears me when I
call
I have a father
He calls me his own
He’ll never leave me
No matter where I go
(Chorus x2)
Chorus Last Time
G
A
Bm
And he hears me when
call
G
A D
And he hears me when I
call
24. LORD, I LIFT YOUR NAME ON HIGH
G
C
D C
Lord, I lift your name
on high!
G
C
D C
Lord, I love to sing
your praises!
G
C
D C
I’m so glad you’re in my
life!
G
C
D C
I’m so glad you came to
save us!
G
C
D
You came from heaven to
earth
C
G
To show the way;
C
D
From the earth to the
cross,
C G
My debt to pay;
Am7 D
From the cross to the
grave
Em7
Am7
From the grave up to the
sky
D
G
C D
Lord, I lift your name
on high…
Thank you for the lyrics, very helpful
ReplyDeletethanks for the lyrics very instrumental God bless you
ReplyDeleteThe lyrics just blessed me in a very big way.be blessed
ReplyDeleteWho are the artists of the songs ...like mwimbie bwana
ReplyDelete